Wilaya ya Magu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Magu ni wilaya moja ya Mkoa wa Mwanza. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 416,113 [1].
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Magu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Magu - Mkoa wa Mwanza - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Badugu • Bujashi • Igalukilo • Kabita • Kahangara • Kalemela • Kiloleni • Kisesa • Kitongo • Kongolo • Lubugu • Lutale • Magu Mjini • Malili • Mkula • Mwamabanza • Mwamanga • Mwamanyili • Ng'haya • Ngasamo • Nkungulu • Nyaluhande • Nyanguge • Nyigogo • Shigala • Shishani • Sukuma |
||