Wilaya ya Kwimba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Kwimba (kijani) katika mkoa wa Mwanza.
Wilaya ya Kwimba ni wilaya moja ya Mkoa wa Mwanza. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 316,180 [1].
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kwimba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Kwimba - Mkoa wa Mwanza - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Bungulwa • Bupamwa • Fukalo • Hungumalwa • Igongwa • Iseni • Kikubiji • Lyoma • Maligisu • Malya • Mantare • Mhande • Mwabomba • Mwagi • Mwakilyambiti • Mwamala • Mwandu • Mwang'halanga • Ng'hundi • Ngudu • Ngula • Nyambiti • Nyamilama • Sumve • Wala |
||