Wilaya ya Kusini, Unguja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Kusini (kijani) katika mkoa wa Unguja Kusini.

Wilaya ya Kusini ni wilaya moja ya Mkoa wa Unguja Kusini. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 31,967 [1].

Marejeo[hariri]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kusini, Unguja kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kusini, Unguja - Mkoa wa Unguja Kusini - Tanzania Flag of Zanzibar.svg

Bwejuu | Jambiani Kibigija | Jambiani Kikadini | Kajengwa | Kibuteni | Kijini | Kitogani | Kizimkazi Dimbani | Kizimkazi Mkunguni | Mtende | Muungoni | Muyuni 'A' | Muyuni 'B' | Muyuni 'C' | Mzuri (Unguja) | Nganani | Paje | Pete (Unguja)