Wilaya ya Korogwe
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
ramani ya mahali pa wilaya ya Korogwe katika mkoa wa Tanga
Wilaya ya Korogwe ni kati ya wilaya saba ya Mkoa wa Tanga nchini Tanzania. Mwaka 2002 ilikuwa na wakazi 261,004 [1].
Wilya Korogwe ina Tarafa nne nazo ni Korogwe, Magoma, Mombo na Bungu. Trafa ya Bungu ndio pekee ambayo makao yake makuu yako katika vilele vya milima ya Usambara mashariki. Tarafa hiyo inakata zifuatazo. Dindira, Vugiri, Bungu kibaoni na Lutindi.
Marejeo na Viungo vya Nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Korogwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Korogwe - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Mashewa • Kizara • Magoma • Kerenge • Kwamndolwa • Kwagunda • Mnyuzi • Korogwe • Ngombezi • Msambiazi • Vugiri • Dindira • Bungu • Lutindi • Makuyuni • Chekelei • Mombo • Mkalamo • Mazinde • Mkomazi |
||