Wilaya ya Kilindini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Kilindini ni wilaya za Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya. Makao makuu yake iko Mombasa mjini.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kilindini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |