Wilaya ya Kasulu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Kasulu (kijani) katika mkoa wa Kigoma.
Wilaya ya Kasulu ni wilaya moja ya Mkoa wa Kigoma. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 628,677 [1].
Marejeo [hariri]
| Kata za Wilaya ya Kasulu - Mkoa wa Kigoma - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Buhigwe • Buhoro • Heru Ushingo • Janda • Kagera Nkanda • Kajana • Kasulu Mjini • Kigondo • Kilelema • Kitagata • Kitanga • Kwaga • Msambara • Muhinda • Muhunga • Munanila • Munyegera • Murufiti • Muyama • Muzenze • Muzye • Nyakitonto • Nyamidaho • Nyamnyusi • Nyamugali • Ruhita • Rungwe Mpya • Rusaba • Rusesa • Titye |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kigoma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kasulu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |