Wilaya ya Kaloleni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaloleni

Wilaya ya Kaloleni ilikuwa wilaya ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya. Makao makuu yake yalikuwa Kaloleni mjini.