Wilaya ya Kalambo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kalambo ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Rukwa, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012.
Makao makuu ya wilaya yako Matai.