Wilaya ya Kahama
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Kahama (kijani) katika mkoa wa Shinyanga.
Wilaya ya Kahama ni wilaya moja ya Mkoa wa Shinyanga. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 596,456 [1].
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kahama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Kahama - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Bugarama | Bulige | Bulungwa | Busangi | Chambo | Chela | Chona | Idahina | Igwamanoni | Isagehe | Isaka (Kahama) | Jana | Kahama Mjini | Kilago | Kinaga | Kinamapula | Kisuke | Lunguya | Malunga | Mhongolo | Mpunze | Mwalugulu | Mwendakulima | Ngaya | Ngongwa | Ntobo | Nyandekwa (Kahama) | Nyihogo | Segese | Ukune | Ulowa | Ushetu | Uyogo | Zongomera |
||