Wilaya ya Dodoma Mjini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Dodoma Mjini (kijani) katika mkoa wa Dodoma.
Dodoma Mjini ni wilaya moja ya Mkoa wa Dodoma. Eneo lake ni mji wa Dodoma. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Dodoma Mjini ilihesabiwa kuwa 324,347 [1].
Weneyeji asilia wa wilaya ni Wagogo.
Utawala wa wilaya ni kwa njia ya kata 30 [1]:
| Na. | Kata | tabia ya kata | Idadi ya wakazi |
|---|---|---|---|
| 1 | Viwandani | mjini | 5,706 |
| 2 | Uhuru | mjini | 4,044 |
| 3 | Chamwino | mjini | 41,028 |
| 4 | Kiwanja cha Ndege | mjini | 10,612 |
| 5 | Makole | mchanganyiko | 19,417 |
| 6 | Miyuji | mchanganyiko | 15,779 |
| 7 | Msalato | vijijini | 8,183 |
| 8 | Makutupora | vijijini | 13,465 |
| 9 | Chihanga | vijijini | 9,747 |
| 10 | Hombolo | vijijini | 20,313 |
| 11 | Ipala | vijijini | 8,966 |
| 12 | Nzuguni | vijijini | 10,726 |
| 13 | Dodoma Makulu | vijijini | 5,904 |
| 14 | Mtumba | vijijini | 13,616 |
| 15 | Kikombo | vijijini | 7,905 |
| 16 | Ng'ong'ona | vijijini | 8,585 |
| 17 | Mpunguzi | vijijini | 16,144 |
| 18 | Tambukareli | mchanganyiko | 9,84 |
| 19 | Kilimani | mjini | 4,28 |
| 20 | Kikuyu South | mchanganyiko | 3,91 |
| 21 | Kikuyu North | mchanganyiko | 6,715 |
| 22 | Mkonze | vijijini | 7,827 |
| 23 | Mbabala | vijijini | 11,071 |
| 24 | Zuzu | vijijini | 5,371 |
| 25 | Hazina | mjini | 11,717 |
| 26 | Madukani | mjini | 2,812 |
| 27 | Majengo | mjini | 6,901 |
| 28 | Kizota | mchanganyiko | 16,432 |
| 29 | Nala | vijijini | 9,788 |
| 30 | Mbalawala | vijijini | 7,543 |
Marejeo [hariri]
- ↑ 2002 Population and Housing Census: General Report (en). Government of Tanzania (2003).; iliangaliwa tar. 2008-08-22
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Dodoma Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Dodama mjini - Mkoa wa Dodoma - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Chamwino | Chihanga | Dodoma Makulu | Hazina | Hombolo | Ipala | Kikombo | Kikuyu North | Kikuyu South | Kilimani | Kiwanja cha Ndege (Dodoma) | Kizota | Madukani | Majengo (Dodoma) | Makole | Makutupora | Mbabala | Mbalawala | Miyuji | Mkonze | Mpunguzi | Msalato | Mtumba | Nala | Ng'ong'ona | Nzuguni | Tambukareli | Uhuru | Viwandani | Zuzu |
||