Wilaya ya Bahi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wilaya ya Bahi ni moja kati ya wilaya nane za Mkoa wa Dodoma, Tanzania yenye postikodi namba 413[1].

Makao ya halmashauri ya wilaya yapo Bahi mjini.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Bahi ilihesabiwa kuwa 221,645 [2] Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 322,526 [3].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-10-08.
  2. http://www.nbs.go.tz/sensa/popu2.php Archived 13 Aprili 2014 at the Wayback Machine. DODOMA REGION, BAHI DISTRICT/COUNCIL POPULATION
  3. https://www.nbs.go.tz
Kata za Wilaya ya Bahi - Mkoa wa Dodoma - Tanzania

Babayu | Bahi | Chali | Chibelela | Chifutuka | Chikola | Chipanga | Ibihwa | Ibugule | Ilindi | Kigwe | Lamaiti | Makanda | Mpalanga | Mpamantwa | Mpinga | Msisi | Mtitaa | Mundemu | Mwitikira | Nondwa | Zanka


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Bahi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.