Wilaya ya Arusha
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Arusha (kijani) katika mkoa wa Arusha.
Wilaya ya Arusha ni wilaya moja ya Mkoa wa Arusha. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Arusha ilihesabiwa kuwa 282,712 [1].
Eneo lake ni manisipaa ya Arusha.
Marejeo [hariri]
| Kata za Wilaya ya Arusha - Mkoa wa Arusha - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Baraa | Daraja Mbili | Elerai | Engutoto | Kaloleni | Kati (Arusha) | Kimandolu | Lemara | Levolosi | Ngarenaro | Oloirien | Sekei | Sokoni I | Sombetini | Terrat | Themi | Unga L.T.D |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Arusha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
mbona mara nyingine wilaya ya Arusha inasemekana imejumuisha kata ambazo leo bado zinaandikwa tofauti? what shall we teach our students as teachers? Je ni Meru au Arumeru?