Wikipedia:Makala kwa ufutaji/Nyaraka 2

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni nyaraka ya makala Wikipedia:Makala kwa ufutaji tangu Januari 2011 hadi Desemba 2013.

Kwa nyaraka za zamani zaidi angalia hapa.

Ingawa makala ingestahili kuwepo bado haijajazwa habari yoyote. Isipopanuliwa na ifutwe. --Baba Tabita (majadiliano) 06:15, 12 Juni 2010 (UTC)[jibu]

Ingawa bado ni mbegu, angalao imeingiziwa habari muhimu kama "infobox" na tovuti yake. Kwa hiyo, naona ibaki. --Baba Tabita (majadiliano) 19:14, 3 Februari 2011 (UTC)[jibu]

Ingawa makala ingestahili kuwepo bado haijajazwa habari yoyote yenye maana. Isipopanuliwa na ifutwe. --Baba Tabita (majadiliano) 13:50, 17 Oktoba 2010 (UTC)[jibu]

Imefutwa. Kipala ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majad