Wikipedia:Kubadilisha jedwali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kubadilisha jedwali si kazi ngumu mno lakini inahitaji uangalifu. Soma kwanza habari za kimsingi katika Wikipedia:Jedwali

Halafu fuata maelezo hapo chini hatua kwa hatua!

Mfano wa jedwali yenye nguzo 2 na misafa 2

Kichwa 1 Kichwa 2
msafa 1, nguzo 1 msafa 1, nguzo 2
msafa 2, nguzo 1 msafa 2, nguzo 2

Jedwali hii ya juu unapata kwa njia ya kuweka misimbo ifuatayo katika dirisha la "hariri":

{| class="wikitable" border="1"
|-
!  Kichwa 1
!  Kichwa 2
|-
|  msafa 1, nguzo 1
|  msafa 1, nguzo 2
|-
|  msafa 2, nguzo 1
|  msafa 2, nguzo 2
|}

Kuongeza misafa

A) Nakili msafa moja

|-
|  msafa 1, nguzo 1
|  msafa 1, nguzo 2

  • Anza kwa alama "|-" inayomaanisha mwanzo wa msafa mpya
  • Halafu nakili maandishi ya nguzo zote yote yaliyomo kwenye msafa uleule.
  • Usinakili alama "|-" ya pili chini ya "msafa 1, nguzo 2"
B) Bandika sehemu iliyonakiliwa

Bandika sehemu iliyonakiliwa chini ya msafa wa mwisho lakini KABLA ya alama ya kufunga jedwali "|}"

{| class="wikitable" border="1"
|-
!  Kichwa 1
!  Kichwa 2
|-
|  msafa 1, nguzo 1
|  msafa 1, nguzo 2
|-
|  msafa 2, nguzo 1
|  msafa 2, nguzo 2
|-
|  msafa 1, nguzo 1
|  msafa 1, nguzo 2
|}

Tokeo lake ni

Kichwa 1 Kichwa 2
msafa 1, nguzo 1 msafa 1, nguzo 2
msafa 2, nguzo 1 msafa 2, nguzo 2
msafa 1, nguzo 1 msafa 1, nguzo 2

Usijali ya kwamba maneno yanasema mara mbili "msafa 1, nguzo 1" kwa sababu yatafutwa ukiweka namba zako.

Kwa njia unaweza kuongeza misafa jinsi unavyopenda.

Kuongeza nguzo

Kuongeza nguzo katika jedwali ni kazi zaidi kidogo. Maana hapa unatakiwa kuingiza maandishi ya nguzo katika sehemu za kila msafa.

A) Kuongeza nguzo kwenye kichwa

Sehemu ya kichwa ya jedwali yetu inaonekana hivi:

{| class="wikitable" border="1"
|-
!  Kichwa 1
!  Kichwa 2
|-

Kwa nguzo ya tatu tunaongeza

! Kichwa 3 

inaonekana hivyo:

{| class="wikitable" border="1"
|-
!  Kichwa 1
!  Kichwa 2
!  Kichwa 3
|-

B) Kuongeza nguzo kwenye kila msafa

Maandishi kwa msafa wa jedwali inaonekana hivyo:

|-
|  msafa 1, nguzo 1
|  msafa 1, nguzo 2
|}

Hapa tunaongeza

|  msafa 1, nguzo 3

Tunarudia kazi kwa kila msafa!

Tokeo lake:

|-
|  msafa 1, nguzo 1
|  msafa 1, nguzo 2
|  msafa 1, nguzo 3
|-
|  msafa 2, nguzo 1
|  msafa 2, nguzo 2
|  msafa 2, nguzo 3
|-
|  msafa 3, nguzo 1
|  msafa 3, nguzo 2
|  msafa 3, nguzo 3
|}
C) Tokeo: Jedwali lililoongezeka nguzo ya tatu
{| class="wikitable" border="1"
|-
!  Kichwa 1
!  Kichwa 2
!  Kichwa 3
|-
|  msafa 1, nguzo 1
|  msafa 1, nguzo 2
|  msafa 1, nguzo 3
|-
|  msafa 2, nguzo 1
|  msafa 2, nguzo 2
|  msafa 2, nguzo 3
|-
|  msafa 3, nguzo 1
|  msafa 3, nguzo 2
|  msafa 3, nguzo 3
|}

inaonekana vile:

Kichwa 1 Kichwa 2 Kichwa 3
msafa 1, nguzo 1 msafa 1, nguzo 2 msafa 1, nguzo 3
msafa 2, nguzo 1 msafa 2, nguzo 2 msafa 2, nguzo 3
msafa 3, nguzo 1 msafa 3, nguzo 2 msafa 3, nguzo 3

Kuongeza vile unaweza kuendelea hadi kupata jedwali unayohitaji. Mara ya kwanza ni vigumu kidogo - mara inayofuata si vigumu tena!


Kupunguza idadi ya nguzo na misafa

Kazi hii ni rahisi kama umeelewa kuongeza misafa na nguzo.

Mfano wa jedwali yenye misafa 5 na nguzo 3
{| class="wikitable" border="1"
|-
!  Kichwa 1
!  Kichwa 2
!  Kichwa 3
!  kichwa 4
|-
|  msafa 1, nguzo 1
|  msafa 1, nguzo 2
|  msafa 1, nguzo 3
|-
|  msafa 2, nguzo 1
|  msafa 2, nguzo 2
|  msafa 2, nguzo 3
|-
|  msafa 3, nguzo 1
|  msafa 3, nguzo 2
|  msafa 3, nguzo 3
|-
|  msafa 4, nguzo 1
|  msafa 4, nguzo 2
|  msafa 4, nguzo 3
|-
|  msafa 5, nguzo 1
|  msafa 5, nguzo 2
|  msafa 5, nguzo 3
|}

inaonekana vile:

Kichwa 1 Kichwa 2 Kichwa 3 kichwa 4
msafa 1, nguzo 1 msafa 1, nguzo 2 msafa 1, nguzo 3
msafa 2, nguzo 1 msafa 2, nguzo 2 msafa 2, nguzo 3
msafa 3, nguzo 1 msafa 3, nguzo 2 msafa 3, nguzo 3
msafa 4, nguzo 1 msafa 4, nguzo 2 msafa 4, nguzo 3
msafa 5, nguzo 1 msafa 5, nguzo 2 msafa 5, nguzo 3
Kuondoa misafa

Kuondoa msafa ni kazi ndogo. Unaangaza sehemu yote ya msafa kuanzia "|-" hadi maandishi ya mwisho wa msafa.

|-
|  msafa 5, nguzo 1
|  msafa 5, nguzo 2
|  msafa 5, nguzo 3

Halafu unabofya "delete" (au unafuta kwa kutumia puku yako).

Tokeo lake ni jedwali yenye misafa 4:

Kichwa 1 Kichwa 2 Kichwa 3 kichwa 4
msafa 1, nguzo 1 msafa 1, nguzo 2 msafa 1, nguzo 3 msafa 1, nguzo 4
msafa 2, nguzo 1 msafa 2, nguzo 2 msafa 2, nguzo 3 msafa 2, nguzo 4
msafa 3, nguzo 1 msafa 3, nguzo 2 msafa 3, nguzo 3 msafa 3, nguzo 4
msafa 4, nguzo 1 msafa 4, nguzo 2 msafa 4, nguzo 3 msafa 4, nguzo 4
Kuondoa nguzo

Hapa unahitaji kila msafa sehemu inayotaja nguzo fulani. Katika mfano wa misafa 4 tunaondoa kila msafa mwenye "nguzo 3" ndani yake yaani

|  msafa 4, nguzo 3
|  msafa 3, nguzo 3
|  msafa 2, nguzo 3
|  msafa 1, nguzo 3

Tokeo lake ni jedwali lenye nguzo 2 na misafa 4:

Kichwa 1 Kichwa 2
msafa 1, nguzo 1 msafa 1, nguzo 2
msafa 2, nguzo 1 msafa 2, nguzo 2
msafa 3, nguzo 1 msafa 3, nguzo 2
msafa 4, nguzo 1 msafa 4, nguzo 2

Kubadilisha kuonekana kwa jedwali

Hii ni mifano mipesi. Ukipenda kujaribisha jedwali zinazoonekana tofauti basi angalia Help:Table in english wikipedia hapo utapata misimbo mingi unayoweza kunakili pamoja na jedwali zenye rangi n.k.

Tazama pia