Where We Are
| Where We Are | |||||
|---|---|---|---|---|---|
![]() |
|||||
| Studio album ya Westlife | |||||
| Imetolewa | 27 Novemba 2009 (See Release History) |
||||
| Imerekodiwa | Julai - Oktoba 2009 | ||||
| Aina | Pop, ballad, Pop rock | ||||
| Urefu | 52:05 | ||||
| Studio | Syco Music, Sony Music | ||||
| Mtayarishaji | Simon Cowell (executive) Steve Robson, Ryan Tedder, Carl Falk |
||||
| Tahakiki za kitaalamu | |||||
|
|||||
| Wendo wa albamu za Westlife | |||||
|
|||||
Where We Are ni albamu ya kundi kutoka kwa kundi la Westlife. Albamu hii ilitolewa tarehe 27 Novemba mwaka 2009, nchini Ireland na kutolewa tarehe 30 Novemba mwaka 2009 nchini Uingereza kupitia katika studio za Syco Music. Single ya kwanza kutoka katika albamu hii ilikuwa "What About Now" single ambayo ilitoka tarehe 23 Oktoba 2009.[9] single hii pia iliweza kutoka kama wimibo wa digitali na siku moja baadae kama ulitoka katika diski.[10]
Albamu hii ilifanikiwa kufika hadi nafasi ya 28 katika chati ya albamu za Uingereza na kufanikiwa kuuza nakala zaidi ya 427,000
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Wimbo wa "Shadows" ambao ulikuwa umeshahakikiwa kujumuiishwa katika albamu hii, uliandikwa na Ryan Tedder akishirikiana na AJ McLean kwa ajili ya albamu ya saba ya kundi la Backstreet Boys' iliyojulikana kwa jina la This Is Us lakini kwa bahati mbaya haukujumuishwa katika orodha ya nyimbo. Baadae ulikuja kununuliwa na studio za Simon Cowell kwa ajili ya albamu ya Leona Lewis ya [[Echo[[, lakini baadae ilikuja kuamuliwa kuwa wimbo huo ungependeza zaidi iwao ungeimbwa na kundi la wavulana na hivyo ukapewa kundi la Westlife .[11] wimbo wa No More Heroes ulioandikwa na Lindy Robbins pia ulitarajiwa kutokezea katika albamu hii..[12].
Moja kati ya waimbaji wa kundi hili Feehily aliliambia gazeti la The Daily Mirror kuwa, "Tunataka albamu hii kuwa sehemu fulani hivi, kati ya mapenzi kutoka kwa mashabiki wetu, na mwelekeo ambao kundi letu linaelekea. Baada ya miaka 11, tunaona hii kama ngwe ya pili katika historia ya Westlilfe.."[13].
Filan akiongelea, maudhui ya albamu hii anasema kuwa,[14]
"Tukisema mwelekeo tofauti kidogo tunakuwa tunakosea, kwani bado tunaimba muziki wa pop, lakini kuna mabadiliko kidogo ndani yake, tumefanya kazi na watayarishaji tofauti ambao hatukuwahi kufanya nao kazi hapo kabla, na pia tumekuwa na watunzi wa nyimbo tofauti. Kuna nyimbo kumi na tatu katika albamu hii, na kati ya hizo nyimbi kumi na mbili ni za kwetu wenyewe, kwa hakika kuna aina tofauti tofauti ya nyimbo nyimbo, kwa ujumla hii ni albamu nzuri zaidi kuwahi kutengenezwa na kundi la Westlife.Mtiririko wa nyimbo na kila kitu ndani yake ni vya kusisimua, hata kama wewe sio shabiki wa Westlife lakini unapenda muziku, hakika utatambua ubora wa albamu hii..
Kuitangaza [hariri]
Tarehe 25 Oktoba 2009, katika tamasha la The X Factor Westlife waliimba wimbo wa "What About Now".Na ukatoka katika wavuti siku hiyo hiyo..[15] Tarehe 26 Oktoba waliimba wimbo huu katika televisheni ya GMTV na baadae kufanya mahojiano katika kipindi cha The One Show hii ikia ni tarehe 30 ya mwezi oktoba 2009 [16] Pia waliimba katika tamasha la BBC Children in Need tarehe 20 Novemba na tarehe 4 disemba waliimba katika vipindi vya Alan Carr's Chatty Man na kipindi cha The Friday Show .[16] Pia walifanya matangazo katika redio mbalimbali katika maeneo vituo mbalimbali vya redio vya Ireland na Uingereza ikiwa ni pamoja na redio BBC Radio One [17] matamasha ya televisheni yalitangazwa baadae.[18][19] pia waliimba katika tamasha la nchini Sweden katika mashindano ya Swedish Idol.[20] Tarehe 27 Novemba 2009, Westlife waliimba katika kipindi maarufu cha Uingereza cha Paul O' Grady Show na baadaekipindi cha The Late Late Toy Show.[21] Pia waliimba katika mji wa Oslo, nchini Norway katika Tuzo za Nobeli za mwaka 2009.
Orodha ya nyimbo [hariri]
| # | Wimbo | M(Wa)tunzi | M(Wa)tayarishaji | Urefu |
|---|---|---|---|---|
| 1. | "What About Now" | Ben Moody, David Hodges, Josh Hartzler | Steve Robson | 4:11 |
| 2. | "How to Break a Heart" | Sam Watters, James Scheffer, Louis Biancaniello | Louis Biancaniello, Sam Watters and Jim Jonsin | 4:04 |
| 3. | "Leaving" | Steven Lee Olsen, Bryn Christopher, Carl Falk | Louis Biancaniello and Sam Watters for MzMeriq | 3:57 |
| 4. | "Shadows" | Ryan Tedder, AJ McLean[11] | Ryan Tedder | 4:01 |
| 5. | "Talk Me Down" | Simon Petty | Steve Anderson | 4:01 |
| 6. | "Where We Are" | Ryan Tedder, Savan Kotecha | Ryan Tedder | 3:57 |
| 7. | "The Difference" | Scott Cutler, Anne Preven, Brian Kennedy Seals | Scott Cutler, Anne Preven and Brian Kennedy Seals (for Team BK) | 3:30 |
| 8. | "As Love Is My Witness" | Connor Reeves, Jonathan Shorten | Martin Terefe | 4:07 |
| 9. | "Another World" | Steve Booker, Sophie Delila | Steve Booker | 3:16 |
| 10. | "No More Heroes" | Lindy Robbins, Savan Kotecha, Emanuel Kiriakou[12][22] | Emanuel Kiriakou | 3:58 |
| 11. | "Sound of a Broken Heart" | Sam Watters, John Reid, Wayne Wilkins, Louis Biancaniello | Louis Biancaniello, Sam Watters and Wayne Wilkins | 3:51 |
| 12. | "Reach Out" | Chris Braide, Mark Feehily, Shaznay Lewis | Greg Wells, Chris Braide | 3:56 |
| 13. | "I'll See You Again" | Shelly Poole, Andy Hill | Emanuel Kiriakou, Andy Hill | 5:17 |
| 14. | "You Raise Me Up (Live at Croke Park)" (Japan Bonus Track) |
Brendan Graham, Rolf Løvland | Decca | 5:00 |
Historia ya kutoka [hariri]
| Nchi / Eneo | Tarehe | Muundo | Studio | Catalogue |
|---|---|---|---|---|
| Ireland | 27 Novemba 2009 | CD, Digital download | RCA Records | 88697611272 |
| Philippines | 28 Novemba 2009 | Sony Music Entertainment | ||
| New Zealand | 30 Novemba 2009 | |||
| Norway[23] | ||||
| South Africa[24] | ||||
| United Kingdom[25] | S/Syco Music | |||
| Hong Kong[26] | Sony Music Entertainment | |||
| South Korea[27] | 1 Desemba 2009 | |||
| Europe[28] | 2 Desemba 2009 | |||
| Finland[29] | ||||
| Sweden[30] | ||||
| Japan[31] | 23 Desemba 2009 | Sony Music Japan | SICP2509 |
Chati [hariri]
|
|
section hii, au sehemu za makala hii, inahitaji vyanzo au au marejeo yoyote. Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuweka vyanzo vya kuaminika. Habari zizizowekewa vyanzo kuna uwezekano wa kuwekewa vikwazo na kuondolewa. (Januari 2010) |
| Nchi | Ilipata nafasi |
Mauzo | Certification |
|---|---|---|---|
| Ufalme wa Muungano | 2 | 600,000+ | 2xPlatinum[32] |
| Ireland | 2 | TBA | TBA |
| South Korea[33] | 3 | TBA | TBA |
| Sweden | 8 | 20 000+ | Gold |
| New Zealand | 13 | TBA | TBA |
The Where We Are Tour [hariri]
Marejeo [hariri]
- ↑ BBC review
- ↑ Entertainment Focus review
- ↑ Daily Express review
- ↑ Digital Spy review
- ↑ iAfrica review
- ↑ London Evening Standard review
- ↑ New! Magazine review
- ↑ The Observer
- ↑ What About Now: Westlife: Amazon.co.uk: MP3 Downloads. Amazon.co.uk. Rudishwa juu ya 2009-10-21.
- ↑ What About Now: Westlife: Amazon.co.uk: Music. Amazon.co.uk. Rudishwa juu ya 2009-10-21.
- ↑ 11.0 11.1 Music - News - Westlife 'given Leona Lewis song'. Digital Spy. Rudishwa juu ya 2009-10-21.
- ↑ 12.0 12.1 Robbins, Lindy. UPDATED DISCOGRAPHY (10/04/09). MySpace. Rudishwa juu ya 16 Oktoba 2009.
- ↑ Westlife return with new single. mirror.co.uk (2009-10-15). Rudishwa juu ya 2009-10-21.
- ↑ http://www.celebburp.com/#/westlife/4536620397
- ↑ Michael Bublé and Westlife perform on The X Factor. Itn.co.uk (2009-10-16). Rudishwa juu ya 2009-10-21.
- ↑ 16.0 16.1 http://www.westlife.com/news/2009/10/22/westlife_on_tv_2
- ↑ p://www.westlife.com/news/2009/10/29/westlife_on_the_radio_1
- ↑ http://www.westlife.com/news/2009/11/11/tv_dates_1
- ↑ http://www.westlife.com/news/2009/11/24/westlife_tv_appearances
- ↑ http://www.westlife.com/news/2009/11/26/westlife_in_sweden
- ↑ Tubridy thrilled with Toy Show figures. RTÉ Entertainment (30 Novemba 2009). Rudishwa juu ya 2 Desemba 2009.
- ↑ http://www.ascap.com/ace/search.cfm?requesttimeout=300&mode=results&searchstr=880445408&search_in=i&search_type=exact&search_det=t,s,w,p,b,v&results_pp=20&start=1
- ↑ http://cdon.no/musikk/westlife/where_we_are-7544961
- ↑ http://www.take2.co.za/music-westlife-where-we-are-cd-5054633.html
- ↑ Where We Are: Westlife: Amazon.co.uk: Music. Amazon.co.uk. Rudishwa juu ya 2009-10-21.
- ↑ http://www.hmv.com.hk/product/rockpop.asp?sku=773831
- ↑ http://www.kyobobook.co.kr/product/detailViewMuc.laf?ejkGb=MUC&mallGb=MUC&barcode=8803581116502&orderClick=LAG
- ↑ http://cdon.eu/music/westlife/where_we_are-7544961
- ↑ http://cdon.fi/musiikki/westlife/where_we_are-7544961
- ↑ http://www.ginza.se/Artist/Artist.aspx?Artist=25985&artNr=215057
- ↑ http://www.hmv.co.jp/en/product/detail/3703493
- ↑ UK BPI searchable certification database
- ↑ South Korea Album Chart
|
|||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||
