Westside Connection
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Weside Connection | |
|---|---|
| Maelezo ya awali | |
| Pia anajulikana kama | WSCG (West-Side Connect Gang) |
| Asili yake | Los Angeles, California, Marekani |
| Aina ya muziki | West Coast hip hop, Gangsta rap, Rap za kisiasa |
| Miaka ya kazi | 1994- |
| Studio | Priority Capitol Da Lench Mob |
| Tovuti | westsideconnection.org |
| Wanachama wa sasa | |
| Ice Cube WC |
|
| Wanachama wa zamani | |
| Mack 10 | |
Westside Connection ni kundi la muziki wa rap na hip hop kutoka mjini Los Angeles, California, Marekani. Kundi linaongozwa na msanii Ice Cube, WC na Mack 10. Kundi lilitoa albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la Bow Down, na kuweza kushika nafasi ya pili katika chati za Billboard 200 bora za mwaka wa 1996.
Kundi liliazishwa wakati wa kipindi cha mzozo wa wasanii wa hip hop wa East Coast na West Coast, uliozuka baada ya kifo cha marehemu 2Pac. Hawa nao waliwahi kuwa na ugomvi na Cypress Hill, Common, na Q-Tip.
Yaliyomo |
[hariri] Wasifu
Baada ya kusimama kufanya kazi kwa muda mrefu, kundi likatoa albamu yao ya pili iliyokwendwa kwa jina la Terrorist Threats na ilitoka mnamo mwaka wa 2003, ikiwa imeachiwa na kibado chao mashuhuri cha "Gangsta Nation" kilichomshirikisha rapa Nate Dogg.
Mnamo mwaka wa 2005 Mack 10 aliondoka katika kundi kwa kufuatia kugombana na rapa mwenziwe - WC..[1]
Mnamo mwaka 2008, kulikuwa na fununu zilizoenea kuwa The Game huenda akajiunga na kundi hilo. Uvumi huu unatokana na mistari yake Ice Cube na WC walioimba katika nyimbo ya "Get Used To It" ambamo Game alisema kuwa anaweza kujiunga na Lench Mob (akiwa na maana ya kujiunga na Westside Connection).
Wakati The Game alipoukana uwanachama huo, mda mfupi Ice Cube akiwa katika majiano ali kili kuwa kuwa mambo hayo yana ukweli ndani yake. Na pale alipoulizwa kuhusu The Game kujiunga na kundi, alijiinamia chini na kusema "labda". [2]
[hariri] Ugomvi wao na Cypress Hill
[hariri] Muziki
[hariri] Albamu zao
| Mwaka | Jina | Chati iliyoshika[3][4] | Mara mwisho katika RIAA certification[5][6][7] | |
|---|---|---|---|---|
| Billboard Hot 200 | Top R&B/Hip hop albums | |||
| 1996 | Bow Down | #2 | #1 | Platinum (1,700,000 copies) |
| 2003 | Terrorist Threats | #16 | #3 | Gold (679,000) |
[hariri] Single zao
| Mwaka | Jina | Chati iliyoshika[8][9] | Albamu | ||
|---|---|---|---|---|---|
| Billboard Hot 100 | Hot R&B/Hip-Hop Songs | Hot rap singles | |||
| 1996 | "Bow Down" | #21 | #19 | #1 | Bow Down |
| 1997 | "Gangstas Make the World Go Round" | #40 | #30 | #10 | |
| 2002 | "It's The Holidaze" | - | - | - | Friday After Next |
| 2003 | "Gangsta Nation" | #33 | #22 | #9 | Terrorist Threats |
[hariri] Marejeo
- ↑ Mack 10 interview. AllHipHop.com (November 10, 2005). Retrieved on 2007-10-23.
- ↑ url=http://www.hiphopdx.com/index/features/id.1201/title./p.1
- ↑ Westside Connection chart history. Billboard. Retrieved on 2007-09-12.
- ↑ Terrorist Threats. Allmusic. Retrieved on 2007-09-12.
- ↑ Westside Connection certifications. RIAA. Retrieved on 2007-11-02.
- ↑ Westside Connection information. FindArticles.com (September 27, 2003). Retrieved on 2007-09-12.
- ↑ Westside Connection. MTV.com (March 25, 2004). Retrieved on 2007-09-12.
- ↑ Westside Connection singles chart history. Billboard. Retrieved on 2007-09-12.
- ↑ Single charts. Allmusic. Retrieved on 2007-11-04.
[hariri] Viungo vya nje
|
|
|
|---|---|
| Ice Cube · WC · Mack 10 | |
| Albamu zao | Bow Down · Terrorist Threats |
| Single zao | "Bow Down" · "Gangstas Make the World Go Round" · "Gangsta Nation" |
| Makala zinazohusiana | Albamu za Ice Cube · Albamuza WC · Albamu za Mack 10 |