Wasilvesta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Wasilvesta.

Wasilvesta ni wamonaki Wabenedikto wanaofuata urekebisho ambao ulianzishwa na Silvesta Guzzolini katika karne ya 13 na kukubaliwa na Papa mwaka 1248.

Kutoka monasteri za Fabriano, Italia, shirika limeenea sasa katika nchi za Sri Lanka, India, Australia, Marekani, Ufilipino na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wasilvesta kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.