Warwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Warwa ni kabila kutoka eneo la Mlima Meru, mkoa wa Arusha, kaskazini ya nchi ya Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Warwa ilikadiriwa kuwa 90,000 [1].

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Warwa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Warwa" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.

Zipo taarifa nyingi sana kuwahusu Warwa (Wameru), zinapatikana katika kitabu kiitwacho "Mountain Farmers-Moral Economies of Land & Agricultural Development in Arusha & Meru" kilichoandikwa na Prof. Thomas T. Spear.