Waroma
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|
Unganisha! Imependekzwa makala hii iunganishwe na Warumi. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. |
Waroma ni wakazi wa mji wa Roma katika chi ya Italia.
Kwa maana ya kihistoria Waroma ni watu wa Dola la Roma liliotawala eneo kubwa katika Ulaya, Afrika ya Kaskazini na Asia ya Magharibi takriban karne ya kwanza hadi ya tano BK. Kiasili ndio watu wa mji wa Roma na mazingira yake tu, lakini baadaye sehemu kubwa ya wakazi wote wa dola wamekuwa raia wakiitwa Waroma.