Wanted Dead or Alive

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Wanted Dead or Alive”
“Wanted Dead or Alive” cover
Single ya 2Pac
kutoka katika albamu ya Gridlock'd soundtrack
Imetolewa Mei 1997
Muundo 12-inch single
Imerekodiwa 1996
Aina Gangsta Rap
Urefu 4:39
Studio Death Row / Interscope
Mtunzi Tupac Shakur

Calvin Broadus

Mtayarishaji Dazdillinger Arnaud
Mwenendo wa single za 2Pac
"Hail Mary"
(1997)
"Wanted Dead or Alive"
(1997)
"Made Niggaz" (akiwa na The Outlawz)
(1997)

"Wanted Dead or Alive" ni wimbo wa ushirikiano baina ya Tupac Shakur, Snoop Dogg, na Dazdillinger Arnaud. Wimbo ulitolewa kama single kutoka katika Gridlock'd (Original Soundtrack). Ulitengenezewa video yake. Video yake inaonyesha maaskari wanajaribu kumtia nguvuni Snoop Dogg na vipande vichache vya marehemu Tupac Shakur. Maudhui ya wimbo huu ni sawa tu na yale ya wimbo wa "2 of Amerikaz Most Wanted". Video yake imeongozwa na Scott Kalvert.