Wangulu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wanguu)
Wangulu (au Wanguu) ni kabila la Tanzania wanaoishi mpakani mwa mikoa mitatu ya Tanga, Dodoma na Morogoro, yaani upande wa Kusini-Magharibi mwa mkoa wa Tanga ambako hasa ni wilaya ya Kilindi. Lugha yao ni Kingulu. Wametokana na jamii zenye asili ya Wasambaa, Wabondei na Wazigua.
| Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wangulu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Makala hiyo kuhusu "Wangulu" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |