Wamaasai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wamaasai ni kabila la watu wapatao 900,000 wanaoishi Kenya na Tanzania. Jina la jiji "Nairobi" limetokana na neno la Kimaasai Enkarenairobi (linalomaanisha "mahali penye maji baridi").
| Makala hiyo kuhusu "Wamaasai" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Wamaasai kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |

