Wakuu wa Serikali ya Kenya
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Orodha ya wakuu wa serikali ya Kenya [hariri]
| Muda wa Utawala | Mtawala | Chama cha Kisiasa | Vidokezo | |
|---|---|---|---|---|
| Enzi ya Kenya | ||||
| 12 Desemba 1963 hadi 12 Desemba 1964 | Jomo Kenyatta, Waziri Mkuu | KANU | Kuwa Rais | |
| Jamhuri ya Kenya | ||||
| 12 Desemba 1964 hadi 17 Aprili 2008 | Ilibadilishwa na Urais aliyekuwa na mamlaka yote ya nchi. | -- | ||
| 17 Aprili 2008 hadi sasa | Raila Odinga, Waziri Mkuu | ODM | ||
Kufuatia makubaliano ya kugawana madaraka mwezi Februari 2008 afisi ya Waziri Mkuu, iliundwa tena mwezi wa Aprili 2008.
Angalia Pia [hariri]
- Kenya
- Wakuu wa Serikali ya Kenya
- Makamu wa Rais wa Kenya
- Wakoloni wakuu wa Kenya
- orodha ya viongozi