Wakarmeli
Wakarmeli (kwa Kilatini Ordo Fratrum Beatissimæ Virginis Mariæ de Monte Carmelo, kwa Kiingereza Order of the Brothers of the Blessed Virgin Mary of Mount Carmel, kifupi O.Carm.) ni watawa wa Kanisa Katoliki ambao labda ulianzishwa katika karne ya 12 kwenye mlima Karmeli (Israeli) ukizingatia juhudi za nabii Elia zilizojumlishwa katika maneno yake yanayotumika kama kaulimbiu ya shirika: "Zelo zelatus sum pro Domino Deo exercituum" (yaani "Nimefanya bidii sana kwa Bwana Mungu wa majeshi"). Pia kuna uhusiano wa pekee na Bikira Maria.
Mbali ya wanaume, wapo wanawake wamonaki wanaojifungia katika ugo wa monasteri, na masista wenye utume wa aina mbalimbali. Hatimaye wapo walei wanaofuata karama ya shirika ambayo ni hasa kuzama katika sala.
Walio wengi wanafuata urekebisho wa Wakarmeli Peku (kwa Kilatini "Ordo Carmelitarum Discalceatorum", kwa kifupi "O.C.D."), ulioanzishwa na Teresa wa Yesu katika karne ya 16 huko Hispania.
Yaliyomo |
[hariri] Watakatifu Wakarmeli
- Alberto wa Yerusalemu, askofu
- Alberto wa Sicilia, padri
- Andrea Corsini, askofu
- Anjelo wa Sicilia, padrí
- Avertano
- Brocardo, padri
- Joaquina Vedruna
- María Magdalena wa Pazzi, bikira
- Nuño Alvares de Pereira
- Petro Tomas, askofu
- Rafael Kalinowski, padri
- Simon Stock, presbítero
- Teresa Benedikta wa Msalaba (Edith Stein), bikira
- Teresa Margarita Redi, bikira
- Teresa wa Yesu, bikira, mwalimu wa Kanisa
- Teresa wa Mtoto Yesu, bikira, mwalimu wa Kanisa
- Yohane wa Msalaba, padri, mwalimu wa Kanisa
[hariri] Wenye heri Wakarmeli
- Ana wa Mt. Bartolomeo, bikira
- María Lopez Rivas, bikira
- Arcangela Girlani, bikira
- María wa Umwilisho, religiosa
- Angelo Agostino Mazinghi, presbítero
- Maria wa Yesu Msulubiwa, bikira
- Maria wa Malaika, bikira
- Luis Rabata, padri
- Wafiadini wa Guadalajara, mabikira
- Bartolomeo Fanti, padri
- Baptista Mantuano, padri
- Dionisio wa Noeli, mfiadini
- Redento wa Msalaba, mfiadini
- Elia K. Chavara, padri
- Romeo wa Lucca
- Enrique wa Osso, padri
- Franciska wa Amboise
- Francisko Palau, padri
- Franco wa Siena
- Isabela wa Utatu, bikira
- Teresa María wa Msalaba, bikira
- Jacobino de Canepacis
- Teresa wa Los Andes, bikira
- Teresa wa Mt. Augustíno na wenzake, mabikira na wafiadini
- Tito Brandsma, padri mfiadini
- Yoana Scopelli, bikira
- Yoana wa Tolosa, bikira
- Yohane Soreth, padri
[hariri] Marejeo
- Schaff-Herzog Encyclopedia of Religion
- Copsey, Richard and Fitzgerald-Lombard, Patrick (eds.), Carmel in Britain: studies on the early history of the Carmelite Order (1992–2004).
- "The Carmelite Order" by Benedict Zimmerman. The Catholic Encyclopedia, 1908.
- T. Brandsma, Carmelite Mysticism, Historical Sketches: 50th Anniversary Edition, (Darien, IL, 1986), ASIN B002HFBEZG
- J. Boyce, Carmelite Liturgy and Spiritual Identity. The Choir Books of Kraków, Turnhout, 2009, Brepols Publishers, ISBN 978-2-503-51714-8
- W. McGreal, At the Fountain of Elijah: The Carmelite Tradition, (Maryknoll, NY, 1999), ISBN 1-57075-292-3
- J. Smet, The Carmelites: A History of the Brothers of Our Lady of Mt. Carmel, 4. vol. (Darien IL, 1975)
- J. Welch, The Carmelite Way: An Ancient Path for Today’s Pilgrim, (New York: 1996), ISBN 0-8091-3652-X
[hariri] Viungo vya nje
- Index of Carmelite Websites
- OCARM - OCD Web Portal
- Order of the Brothers of Our Lady of Mount Carmel
- British Province of Carmelites
- Carmelite Monks - Contemplative Carmelite men living a solitary life of prayer and penance
- Meditations from Carmel
- "Sayings of Light and Love" - Spiritual Maxims of John of the Cross
- The Carmelite history and vocation
- Way of Perfection for the Laity - A commentary on the traditional rule of the Discalced Carmelite Third Order.