Vin Diesel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vin Diesel.

Vin Diesel (jina la kuzaliwa: Mark Vincent,18 Julai, 1967 mjini New York City) ni mwigizaji wa filamu, mtunzi, mwongozaji, na mtayarishaji kutoka nchi ya Marekani.

Anafahamika zaidi kwakuwa na misuli mikubwa, mwili mpana na sauti yake nzito. Diesel pia ni mwanzilishi wa kampuni za utengenezaji wa filamu. Miongoni mwa kampuni hizo ni OneRace Films, Tigon Studios, na Racetrack Records. Vin pia amecheza filamu kadha wa kadha zenye kumpa umaarufu na heshima kubwa. Vin vilevile alionekana katika filamu ya XXX na The Fast and the Furious.

Yaliyomo

[hariri] Filamu Alizocheza

Mwaka Jina la Filamu Jina Alilotumia Maelezo
1990 Awakenings Orderly
1994 Multi-Facial Mike
1997 Strays Rick
1998 Saving Private Ryan Private Caparzo
1999 The Iron Giant The Iron Giant Katia Sauti
2000 Boiler Room Chris Varick
Pitch Black Richard B. Riddick
2001 The Fast and the Furious Dominic Toretto
Knockaround Guys Taylor Reese
2002 xXx Xander Cage
2003
A Man Apart Sean Vetter
2004 The Chronicles of Riddick: Dark Fury Richard B. Riddick (voice) Straight-to-DVD, animated
The Chronicles of Riddick Richard B. Riddick
2005 The Pacifier Luteni Shane Wolfe
2006 Find Me Guilty Jack DiNorscio
The Fast and the Furious: Tokyo Drift Dominic Toretto Cameo appearance
Rockfish voiceover
2007
Babylon A.D. Hugo Cornelius Toorop
2008 Hannibal (animated) Hannibal Barca (voice) Ishatangazwa
Hannibal the Conqueror Ishatangazwa
2009 The Wheelman The Wheelman Ishatangazwa

[hariri] Filamu Alizotayarisha

  1. Multi-Facial (1994) (Mtayarisha)
  2. Strays (1997) (Mtayarishaji Mkuu)
  3. xXx (2002) (Mtayarishaji Mkuu)
  4. A Man Apart (2003) (Mtayarishaji Mkuu)
  5. Chronicles of Riddick (2004) (Mtayarishaji Mkuu)
  6. Life is a Dream (2004) documentary (Mtayarishaji Mkuu)
  7. Find Me Guilty (2006) (Mtayarishaji)
  8. Hannibal (2007) (Mtayarishaji)

[hariri] Filamu Alizoongoza

  1. Multi-Facial (1994)
  2. Strays (1997)
  3. Hannibal (2008) .... Hannibal Barca - Imetangazwa - Bado inamatengenezo madogo madogo.

[hariri] Filamu Alizotunga

  1. Multi-Facial (1994)
  2. Strays (1997)

[hariri] Michezo ya Watoto

  1. The Chronicles of Riddick: Escape from Butcher Bay
  2. The Chronicles of Riddick: Assault on Dark Athena
  3. The Wheelman

[hariri] Mshahara

[hariri] Marejeo

  1. Habari za Diesel kukataa kuwa yeye sio Shoga
  2. Diesel katika mahojiano kuhusu filamu ya Riddick]
  3. Filamu mpya Riddick

[hariri] Viungo vya Nje

Vin katika IMDB
Vin katika Dmoz

Us-actor.svg Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vin Diesel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.