Vietnam Airlines
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| 250px | ||||
|
||||
| Kimeanzishwa | 1956 (as Vietnam Civil Aviation) | |||
|---|---|---|---|---|
| Hubs | ||||
| Frequent-flyer program | Golden Lotus Plus | |||
| Member lounge | Golden Lotus Lounge | |||
| Muungano | SkyTeam | |||
| Subsidiaries |
|
|||
| Ndege zake | 71 | |||
| Shabaha | 48 (20 domestic; 26 international; 2 seasonal) | |||
| Nembo | Bringing Vietnamese Culture to the World | |||
| Parent company | Vietnam Airlines Corporation | |||
| Makao makuu | Long Bien, Hanoi, Vietnam | |||
| Watu wakuu | ||||
| Tovuti | Kigezo:Url | |||
Vietnam Airlines ni kampuni ya ndege ya taifa ya Vietnam yenye makao makuu jijini Hanoi. Kampuni hii ilianza kufanya kazi zake mwaka 1996 baada ya kuvunjika kwa Tong cong ty hang khong Vietnam kulikopelekea kuvunjika kwa "Hang hang khong Vietnam". Hivi sasa kampuni hii inatoa huduma barani Asia, Ulaya na Australia. Kampuni hii ina safari nyingi za ndege nje ya Asia kuliko kampuni yoyote barani Asia. Kampuni hii ilikuwa ikimilikiwa asilimia 100 na serikali ya Kenya mpaka mwaka 1996.
Marejeo [hariri]
- ↑ 1.0 1.1 Airline Membership. International Air Transport Association. Jalada kutoka ya awali juu ya 1 Mei 2012. Rudishwa juu ya 1 Mei 2012.
- ↑ Vietnam Airlines – Details and Fleet History. Planespotters.net (19 Machi 2012). Rudishwa juu ya 1 Mei 2012.
- ↑ Dong, Ha. "Second southern international airport has $8bln price tag", Thanhniennews.com, 20 Desemba 2006. Retrieved on 1 Mei 2012. Archived from the original on 1 Mei 2012.
- ↑ Cite error: Invalid
<ref>tag; no text was provided for refs namedAbout_Us - ↑ "Vietnam Airlines có chủ tịch mới", 24 Mei 2011. Retrieved on 15 Desemba 2011. (Vietnamese)
- ↑ 6.0 6.1 6.2 Vietnam Airlines Board of Directors. Bloomberg Businessweek. Jalada kutoka ya awali juu ya 1 Mei 2012. Rudishwa juu ya 1 Mei 2012.
Viungo vya nje [hariri]
- (Kiingereza) Tovuti rasmi