Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Zanzibar International Airport Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar |
|||
|---|---|---|---|
| IATA: ZNZ – ICAO: HTZA | |||
| Muhtasari | |||
| Aina | Public | ||
| Operator | Government | ||
| Mahali | Zanzibar, Tanzania | ||
| juu ya UB | 54 ft / 16 m | ||
| Anwani ya kijiografia | 06°13′19″S 039°13′29″E / 6.22194°S 39.22472°E | ||
| Tovuti | |||
| Runways | |||
| Mwelekeo | Urefu | Barabara | |
| m | ft | ||
| 18/36 | 2,462 | 8,077 | Asphalt |
| Source: DAFIF[1][2] | |||
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar (IATA: ZNZ, ICAO: HTZA), pia (Kisauni Airport) ni kiwanja cha ndege cha Jamhuri ya Watu wa Zanzibar nchini Tanzania.
Abiria 418,814 walipita humo mwaka 2005.
[hariri] Kampuni ya ndege na mwisho wa safari
Kenya Airways 737-200 at Zanzibar Airport
| Kampuni ya ndege | Mwisho wa safari |
|---|---|
| 1Time | Johannesburg |
| Air Uganda | Entebbe, Juba, Nairobi |
| Bankair | Arusha, Dar es Salaam, Pemba |
| Coastal Aviation | Dar es Salaam |
| Condor | Frankfurt |
| Ethiopian Airlines | Addis Ababa |
| Fly540 | Mombasa, Nairobi |
| Jetairfly | Brussels, Mombasa |
| Kenya Airways | Nairobi |
| Livingston Energy Flight | Milan-Malpensa |
| Neos | Milan-Malpensa |
| Precision Air | Dar es Salaam, Mombasa, Nairobi |
| ZanAir | Arusha, Dar es Salaam, Pemba |
[hariri] Marejeo
- ↑ Airport information for HTZA from DAFIF (effective October 2006)
- ↑ Airport information for ZNZ at Great Circle Mapper. Source: DAFIF (effective Oct. 2006).