Mtumiaji:MediaKill13

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jina langu ni MediaKill13 na mimi ni raia wa Kenya. Ninaweza kusoma na kuandika katika lugha ya Kiswahili na niko hapa kusaidia katika ukuzi wa kamusi elezi ya Wikipedia katika lugha ya Kiswahili. Ikiwa una jambo la kuniambia, andika katika ukurasa wangu wa majadiliano. Asante.