Mtumiaji:Isabela Beda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
 MAISHA YANGU SHULENI ALFAGEMS
    

Shule ya sekondari alfagems ni shule iliyopo mjini Morogoro nanenane.Ni shule inayowalea vijana katika msingi mzuri wa elimu na pia katika kumjua MUNGU.Alfagems sekondari ni shule iliyochini ya shirika la mtakatifu fransisko wa asizi ikioongozwa na padre Riccardo Maria Unwa.Padre huyu uwalea wanafunzi katika kumjua MUNGU na kuwasidia katika kuwapatia wanafunzi elimu mbalimbali ni mcheshi lakini kuna mda yupo makini na wanafunzi wake kuakikisha kila kitu kinaenda kwa usahihi katika shule yako ingawa kuishi na kundi la vijana ni kazi lakina baba huyu kajitolea sana katika kutulea ingawa kuna vitu tunamuumiza lakini hakuchoka kutuasa na kutukanya kama watoto wake.Ama kweli shule si majengo wala rangi bali na elimu bora na kulelewa vizuri na kupata mahitaji muhimu.Kwa miaka minne niliyokaa hapa Alfagems nimejifunza mambo mengi sana kama kujitegemea kama kijana na kumjua MUNGU kwa kina na matendo yake makuu na namshukuru sana meneja wetu wa shule ni mfano wa kuigwa nimejifunza mengi kupitia yeye ni mtu wa watu ingawa wanafunzi wanamuogopa kwa sababu mda mwingine ni mkali lakini kadili nilivyoishi nae ni mtu asiyependa ujinga na anapenda mtu anayejitambua na kujua anafanya nini katika maisha yake ya shule.Nimeishi nae vyema kanifunzusha mambo mengi na kujifunza vitu ni mchechi na mpenda watu.MUNGU ambariki na azidi kuiongoza Alfagems huu n mwaka wangu wa mwisho naondoka hapa huku nikijifunza kuwa"NISOME KWA AJIRI YA KUWASAIDIA WATU PESA BAADAE" hayo ni maneno aliyetuusia baba yetu Riccardo kwa sababu vijana wengi wanasoma ili wapate fedha si kuwasaidia watu.Napenda kuwashukuru walimu wote na wanafunzi katika kushirikiana vizuri na kusaidiana katika kukuzana kielimu na kujifunza kuwa "ELIMU SI KUJUA MENGI BALI KUBADILIKA" MUNGU awabariki maisha mema na awapiganie AMEN.


                         "imeandikwa na,
                                       ISABELA BEDA LUANDA
                                       Kidato cha nne
                                          2016