Ureparapara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ureparapara ni kisiwa cha Vanuatu, kimojawapo cha Visiwa vya Banks. Kiko upande wa kaskazini wa kisiwa cha Vanua Lava. Eneo la kisiwa ni 39 km². Kuna vijiji vitatu kisiwani tu. Kijiji kikubwa kabisa kisiwani huitwa Léar. Mwaka wa 2009 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 437. Watu wakaao kisiwani kwa Ureparapara huongea hasa Kiloyop na Kilehali.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.