Upawa wa Warangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Upawa ulivyochorwa na Ndg. Yovin Maingu kutoka Haubi, Wilaya ya Kondoa.

Upawa wa Warangi ni aina ya chombo cha kuchotea hasa pombe. Kwa Kirangi huitwa "ndʉvo". Chombo hicho kilitokana na aina fulani ya maboga au mamumunya. Hutumika kwa kuchotea pombe kutoka katika mtungi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Yovin Maingu na Brunhilde Bossow, 2006 "Mazingira ya Warangi na Wajerumani wa Kale", Kutolewa na Heimat- und Kulturverein Gellersen (Shirika la Historia na Utamaduni za Vijiji vya Gellersen, Ujerumani)
Vifaa vya Warangi
bangilibaragumuchombo cha kukamuliachombo cha tumbakuchungujembe - kibuyu kidogokibuyu kikubwakihorikinukipekecho - kirindokisungomasagiosandukushikilioshokatunguupawa

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Upawa wa Warangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.