Unga (maana)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Unga ni neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha:
- Unga (nomino) – matokeo ya kusaga nafaka au kitu chochote chenye chembe chembe kubwa.
- Unga (kitenzi) – ni tendo la kuvirudishia pamoja vitu vilivyoachana. Kwa mfano kutumia umeme kuunga vyuma.