Ulysses S. Grant
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Ulysses Grant)
Ulysses Grant (27 Aprili 1822 – 23 Julai 1885) alikuwa Rais wa 18 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1869 hadi 1877. Alikuwa na Kaimu Rais wawili, kwanza Schuyler Colfax (1869-73), halafu Henry Wilson (1873-75).
Tazamia pia [hariri]
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ulysses S. Grant kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |