Ufalme wa Lunda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dola la Lunda lilikuwa ufalme wa Kibantu kati ya 1600 na 1850 kandoni kwa mto Kasai, mpakani kwa nchi za kisasa za Angola na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Ufalme wa Lunda" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Ufalme wa Lunda kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi