Ubaruku
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kata ya Ubaruku | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Mkoa | Mbeya |
| Wilaya | Mbarali |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 31,928 |
Ubaruku ni jina la kata ya Wilaya ya Mbarali ambalo lili tokana na mtu mmoja alieitwa m.baruku katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 31,928 waishio humo. [1]
Marejeo [hariri]
- ↑ Repoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002 (en). Serikali ya Tanzania.
| Kata za Wilaya ya Mbarali – Mkoa wa Mbeya - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Chimala | Igurusi | Madibira | Mahongole (Mbarali) | Mapogoro | Mawindi | Msangaji | Ruiwa | Rujewa | Ubaruku | Utengule Usangu |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ubaruku kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |