Ua (maana)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ua ni neno la Kiswahili ambalo linaweza kumaanisha:
- Ua (kitenzi) – tendo la kuondoa uhai wa kiumbe hai kama wanyama, ndege au wanadamu.
- Ua (nomino) – ni jina baada ya matokeo ya kuanza kupevuka kwa matunda katika miti ambayo huwa na rangi mbalimbali za kuvutia.