UNDESA

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Malengo endelevu katika jengo la umoja wa mataifa

UNDESA ni kifupisho cha "United Nations Department for Economic and Social Affairs" yaani Idara ya Masuala ya Uchumi na ya Jamii ya Umoja wa Mataifa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu "UNDESA" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.