Tzi Ma
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Tzi Ma | |
|---|---|
| Amezaliwa | 10 Juni 1962 Hong Kong |
Tzi Ma (amezaliwa tar. 10 Juni, 1962) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia wa Kichina-Kiamerika. Anafahamika sana kwa kucheza filamu na tamthilia za Kimarekani. Pia, anafahamika kwa kucheza kama Cheng Zhi kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha 24.
[hariri] Viungo vya Nje
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tzi Ma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |