Tusker FC ni klabu ya kandanda yenye makao yake katika mji mkuu wa Nairobi nchini Kenya. Ni klabu ya tatu iliyofanikiwa zaidi nchini Kenya kwani ina ligi nane za michuano ya Kenya na tatu za Kombe ya Kenya. Aidha, imeshinda mataji manne katika kombe la klabu za CECAFA katika eneo la Afrika Mashariki.
Klabu hii inamilikiwa na East African Breweries na jina lake linahusu Tusker bia ya kusisimua na ambayo inajulikana sana ya kampuni hii. Klabu hii ilikuwa inajulikana kama Kenya Breweries hadi mwaka wa 1999, wakati ambapo jina lake la sasa lilianzishwa. Tusker FC ina uwanja mbili ambazo hutumia kwa mechi za nyumbani, Moi International Sports Centre na Ruaraka Sports Ground.
Peter Serry, Mkurugenzi Mtendaji wa Tusker FC, aliaga dunia katika moto ya Nakumatt Supermarket mwaka wa 2009 katika mji mkuu wa Nairobi mwezi wa Januari. Alikuwa akiandamana na kocha wa Tusker FC James Nandwa, ambaye alinusurika kifo.
- 1972, 1977, 1978, 1994, 1996, 1999, 2000, 2007
- 1975, 1989, 1993
- Kombe la klabu za CECAFA:5
- 1988, 1989, 2000, 2001, 2008
- East African Hedex Super Cup: 2
- 1994, 1995
Utendaji katika mashindano ya CAF. [hariri]
- 1971: Raundi ya kwanza
- 1971: Raundi ya kwanza
- 1986 - Raundi ya Pili
- 1971: Raundi ya kwanza
- 1971: Raundi ya kwanza
- 2008 - Raundi ya mchujo
- Kombe la Mabingwa wa klabu la Afrika : 4
- 1985 - Nusu fainali
- 1972: Ilijitoa katika raundi ya kwanza
- 1971: Raundi ya kwanza
- 1971: Raundi ya kwanza
- 1985 - Nusu fainali
- Kombe la CAF la washindi:4
- 1971: Raundi ya kwanza
- 1986 - Raundi ya Pili
- 1986 - Raundi ya Pili
- 1994 - Walifika fainali
Viungo vya nje [hariri]