Tunguu (mmea)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mmea wa kitunguu unaoonyesha tunguu lake

Tunguu ni sehemu ya shina la mimea fulani ilio na majani manene kwa umbo wa gamba yanayohifadhi chakula. Mifano ni kitunguu, kitunguu saumu na matunguu ya mimea mingine ya ngeli Monocots. Tunguu ni tofauti na kiazi ambacho ni sehemu ya mzizi.

[hariri] Picha

Gray188.png Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tunguu (mmea) kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine