Tunduma
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kata ya Tunduma | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Mkoa | Mbeya |
| Wilaya | Mbozi |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 34,461 |
Tunduma ni mji mdogo kwenye mpaka wa Tanzania na Zambia. Kuna vituo vya mpakani kwa ajili ya usafiri kwenye barabara kuu ya TANZAM na reli ya TAZARA. Mji unaendelea upande wa Zambia kwa jina hilihili.
Upande wa Tanzania Tunduma ni kata ya Wilaya ya Mbozi katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 34,461 waishio humo. [1]
[hariri] Marejeo
- ↑ 2002 Population and Housing Census General Report (en). Government of Tanzania. Rudishwa juu ya 2008-08-21. Pamoja na kuwa kituo cha mpakani ni pia njiapanda muhimu kwa sababu njia za kwenda Sumbawanga na Ileje zinaachana hapa na barabara kuu.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tunduma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Mbozi - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Chilulumo | Chitete | Chiwezi | Halungu | Igamba | Ihanda (Mbozi) | Isandula | Isansa | Itaka | Ivuna | Iyula | Kamsamba | Kapele | Mlangali (Mbozi) | Mlowo | Msangano | Msia | Myovizi | Myunga | Nambinzo | Ndalambo | Nkangamo | Nyimbili | Ruanda (Mbozi) | Tunduma | Vwawa | |
||