Trabzonspor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Trabzonspor, pia inajulikana kama Trabzonspor Kulübü, ni klabu maarufu ya mpira wa miguu kutoka nchini Uturuki. Klabu ilianzishwa mnamo mwaka 1967 na ina wanachama wapatao 27.000.

Uwanja wao wa nyumbani maarufu unaitwa Hüseyin Avni Aker Stadı mjini Trabzon.

Yaliyomo

Wachezaji maarufu wa klabu ya Trabzonspor [hariri]

Makocha wa klabu ya Trabzonspor [hariri]

Wachezaji wa klabu kwa msimu wa mwaka wa 2007/2008 [hariri]

Magolikipa:

Walinzi:

Katikati:

Washambuliaji:

Viungo vya nje [hariri]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Trabzonspor kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.