Toyota Premio
- This article incorporates information from the equivalent article on the Japanese Wikipedia.
| Kampuni ya magari | Toyota |
|---|---|
| Production | 2001-Present |
| Alitanguliwa na | Toyota Corona Premio |
| Class | Mid-size |
| Body style(s) | 4-door sedan |
| Layout | FF layout F4 layout (optional 2007-present) |
| Engine(s) | first generation engines 1NZ-FE 1.5 L I-4 DOHC 1ZZ-FE 1.8 L direct I-4 DOHC (2WD/4WD) 1AZ-FSE 2.0 L direct I-4 DOHC second generation engines 1NZ-FE 1.5 L I-4 DOHC 2ZR-FE 1.8 L direct I-4 DOHC (2WD/4WD) 3ZR-FAE 2.0 L direct I-4 DOHC |
| Transmission(s) | CVT Automatic (2nd generation and 2.0L 1st generation) 4-speed Super ECT automatic (1st generation 1.5/1.8L) |
| Wheelbase | 2,700 mm (106.3 in) |
| Marefu | 4,600 mm (181.1 in) |
| Upana | 1,695 mm (66.7 in) |
| Urefu | 1,470 mm (57.9 in) |
| Curb weight | 1,140 kg (2,500 lb) |
| Related | Toyota Allion Toyota Vista 5th gen Toyota Opa Toyota Wish Toyota Prius 1st gen Toyota Caldina 3rd gen Toyota Avensis |
Toyota Premio ni gari yenye ukubwa wa kati inayouuzwa Ujapani na Toyota.
Premio ni gari ya kiwango cha juu hasa starehe ukilinganisha na Toyota Allion ambayo ina asili ya ujana. Magari haya yote mawili yalianzishwa wakati mmoja. Timu ya mbao na rangi ya chuma inapatia Premio sura ya ajabu na kuchukuliwa kuwa gari ya familia au mheshimiwa. Mabadiliko ya kisura yaliyofanywa katika Allion hayafanywi kwa Premio.
Katika masuala ya daraja, Premio imeundwa kujaza pengo kati ya Toyota corolla na Toyota camry.
Toleo la Kwanza (2001-2006) [hariri]
Premio ni Halifa ya Toyota Corona na Corona Premio. Toleo la Kwanza la Primeo lilizinduliwa mwezi wa Desemba 2001. Ilikuwa inapatikana kwa aina tatu za ukubwa wa injini ; 1.5L, 1.8L na 2.0L. Mwaka wa 2005, Premio ilinawirishwa kidogo ambayo ni dhahiri katika mataa yake ya breki ya Kisasa.
Toleo la pili(2007-Hadi Sasa) [hariri]
Toleo la pili la Premio lilianza kuuzwa mwaka wa 2007. Bado linaendelea kujaza pengo kati ya corolla na camry, na ina sura ghali zaidi kuliko ya awali. Injini zinazopatikana bado ni sawa; 1.5L, 1.8L na 2.0L. G-BOKA iko kwenye orodha ya miundo ya kujitakia.
| Makala about a modern automobile produced after 1975 bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |