Toronto Raptors

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mechi kati y timu ya Toronto Raptors na Orlando Magic

Toronto Raptors ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Toronto, Ontario. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Kawhi Leonard, Kyle Lowry.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Toronto Raptors kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.