Torino
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mji wa Torino | |||
|
|||
| Nchi | Italia | ||
|---|---|---|---|
| Mkoa | Piemonte | ||
| Mkoa | Torino | ||
| Idadi ya wakazi | |||
| - Mji | 909 193 | ||
| Tovuti: www.comune.torino.it | |||
Torino ni mji wa Italia katika mkoa wa Piemonte. Ndio makao makuu ya mkoa.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2008, mji una wakazi wapatao 908,825 wanaoishi katika mji huu[1]. Mji upo m 240 kutoka juu ya usawa wa bahari.
[hariri] Marejeo
- ↑ ISTAT. Monthly demographic balance January-November 2008. Rudishwa juu ya 2009-04-27.
[hariri] Viungo vya nje
- (Kiitalia) Tovuti rasmi
| Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Torino kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |