Tohe
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Tohe | ||||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Tohe ndope
(Redunca redunca) |
||||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Tohe ni wanyamapori wa jenasi Pelea na Redunca katika familia Bovidae. Wana rangi ya mchanga au ya kijivu lakini tumbo ni jeupe. Madume ya Redunca wana pembe zilizopindika kuelekea mbele, wale wa Pelea wana pembe nyofu. Wanatokea mahali pa manyasi mazito karibu na maji au misitu milimani (tohe-milima na tohe pembe-nyofu). Wanyama hawa hula manyasi na matete.
Spishi [hariri]
- Pelea capreolus Tohe Pembe-nyofu (Grey Rhebok)
- Redunca arundinum Tohe Kusi (Southern Reedbuck)
- Redunca fulvorufula Tohe-milima (Mountain Reedbuck)
- Redunca redunca Tohe Ndope au Forhi (Bohor Reedbuck)
Picha [hariri]
| Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tohe kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.