Titicaca (ziwa)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ziwa Titicaca kutoka angani
Ziwa Titicaca kutoka angani

Ziwa Titicaca iko kwenye Altiplano ya Andes kati ya Peru na Bolivia.

Ni ziwa kubwa la pili katika Amerika Kusini lenye eneo la kilomita za mraba 8,372. Liko kwa kimo cha mita 3,809 juu ya UB. Maji yake ina kina cha 105 m. Hivyo ni ziwa la juu duniani penye usafiri kwa meli ndogo kuna pia manowari ya jeshi la maji.

Mito 25 inaingia ziwani. Kuna visiwa vingi.

[hariri] Picha za Titicaca

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Titicaca (ziwa)" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Titicaca (ziwa) kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi