Timu ya Taifa ya Kandanda ya Jibuti ambayo imepewa jina la utani la the Riverains de la Mer Rouge (Shoremen of the Red Sea), ndiyo timu ya taifa la Jibuti. Iko chini ya Shirikisho la Kandanda la Jibuti, Fédération Djiboutienne de Football. Haikuingia katika mijuano ya akufuzu kwa Kombe la Dunia la 2006.
Hadi ushindi wake wa 1-0 dhidi ya Somalia, Jibuti haikuwahi kushinda mechi yoyote iliyoandaliwa na Shirikisho la Kandanda Duniani (FIFA).
Kandanda ilianzishwa nchini Jibuti kabla ya Uhuru kutoka Ukoloni, huku ikichezwa san asana na Majeshi wa Kifaransa. Huku eneo hilo enzi hizo likiitwa French Somaliland, walikuwa wakishiriki katika mijuano ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA kutoka 1930 hadi 1974. Hata hivyo hawakuwahi kufuzu kwa kombe hilo hata mara moja. Baada ya Uhuru mnamo 1977, Jibuti ilishirikishwa katika Kombe la Mataifa Bingwa Barani Afrika lakini matokeo yake yalikuwa duni.
Jibuti haijawahi kucheza katika Kombe la Mataifa Bingwa Barani Afrika, huku timu hiyo ikijitoa katika mashindano hayo mara mbili, mnamo 2004 na 2008..
Ilionekana katika mijuano ya CECAFA mara ya kwanza nchini Kenya mnamo 1994 lakini ikashindwa kuzoa alama baada ya kupoteza mechi zote dhidi ya Kenya, Somalia na Tanzania katika mkondo wa kwanza. Katika mechi zote nane, timu hiyo iliweza kupata alama mbili baada ya kutoka sare mara mbili.
Rekodi ya Kombe la Dunia [hariri]
- 1930- Ilifika mechi ya Kufuzu
Rekodi ya Kombe la Mataifa Bingwa Barani Afrika [hariri]
Kombe la CECAFA [hariri]
| Kombe la CECAFA |
| Mwaka |
Mkondo |
Idadi ya Mechi |
Ilishinda |
Sare |
Ilishindwa |
MAbao iliyofunga |
Mabao iliyofungwa |
| 1973| to 1992 |
Haikuingia |
- |
- |
- |
- |
- |
- |
| 1994 |
Mkondo wa Kwanza |
3 |
0 |
0 |
3 |
2 |
9 |
| 1999 |
Mkondo wa Kwanza |
2 |
0 |
0 |
2 |
2 |
6 |
| 2000 |
Mkondo wa Kwanza |
4 |
0 |
1 |
3 |
2 |
15 |
| 2001 |
Mkondo wa Kwanza |
3 |
0 |
0 |
3 |
3 |
17 |
| 2005 |
Mkondo wa Kwanza |
4 |
0 |
0 |
4 |
2 |
18 |
| 2006 |
Mkondo wa Kwanza |
3 |
0 |
0 |
3 |
0 |
10 |
| 2007 |
Mkondo wa Kwanza |
3 |
0 |
0 |
3 |
2 |
19 |
| 2008 |
Mkondo wa Kwanza |
4 |
0 |
1 |
3 |
2 |
13 |
| 2009 |
Mkondo wa Kwanza |
3 |
0 |
0 |
3 |
0 |
13 |
| Jumla |
- |
29 |
0 |
2 |
27 |
15 |
120 |
Kikosi cha sasa [hariri]
Tazama Pia [hariri]
|
|
|
|
|
|
|
| Asia |
|
|
|
| Africa |
|
|
North,
Central America
and Caribbean |
|
|
| South America |
|
|
| Oceania |
|
|
| Europe |
|
|
| Non-FIFA |
|
|
| Games |
|
|
|
|
|
|
|
|
| International Competitions |
|
|
| Club Competitions |
|
|
| Youth Competitions |
|
|
| Women's Competitions |
|
|
| Sub-competitions |
|
|
| Related Competitions |
|
|
| National Teams |
|
|
|
|
|
|
|
|
| International competitions |
|
|
| Club competitions |
|
|
| Affiliated Football Associations |
|
|
| National teams |
|
|
|
|
|