Timeless

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Timeless
Timeless Cover
Studio album ya Martina McBride
Imetolewa 18 Oktoba 2005
Aina Country
Lebo RCA Nashville
Mtayarishaji Martina McBride
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Martina McBride
Martina
(2003)
Timeless
(2005)
Waking Up Laughing
(2007)


"'Timeless'" ni jina la kutaja albamu ya 2005 ya mwimbaji wa muziki wa miondoko ya Country wa Marekani, Martina McBride.

Albamu hii ni mkusanyiko wa vibao 18 vya miondoko ya classic country. Wasanii maarufu ambao vibao vyao viliangaziwa ni pamoja na include Eddy Arnold, Johnny Cash, Don Gibson, Loretta Lynn, Buck Owens, Ray Price, Hank Snow, Hank Williams, Tammy Wynette na wengine wengi. Albamu hii ilianzia nafasi ya kwanza katika chati ya albamu za Country na #3 katika chati za Billboard 200.

Albamu hii ilikuwa yenye mauzo ya kasi zaidi kwa McBride katka kazi yake na ilimpa mauzo bora zaidi ya mwanzo huku ikiuza nakala 185,000 katika wiki yake ya kwanza. Kufikia Machi 2007, albamu hii ilikuwa na mauzo ya milioni 1.2 nchini Marekani kulingana na Nielsen SoundScan na ikathibitishwa kua katika kiwango cha platinum.

Mpangilio wa Vibao[hariri | hariri chanzo]

Source:[1]

Kibao Kichwa cha wimbo Watunzi Msanii wa asili Toleo asili Urefu
1 "You Win Again" Hank Williams Hank Williams 1952 2:59
2 "I'll Be There" Ray Price, Rusty Gabbard Ray Price 1954 2:18
3 "I Can't Stop Loving You" Don Gibson Don Gibson 1957 4:21
4 "(I Never Promised You A) Rose Garden" Joe South Lynn Anderson 1970 3:15
5 "Today I Started Loving You Again" Merle Haggard, Bonnie Owens Merle Haggard 1968 3:46
6 "You Ain't Woman Enough" Loretta Lynn Loretta Lynn 1966 2:12
7 "Once a Day" Bill Anderson Connie Smith 1964 2:23
8 "Pick Me up on Your Way Down" Harlan Howard Charlie Walker 1958 2:40
9 "I Don't Hurt Anymore" Don Robertson, Walter E. Rollins Hank Snow 1954 3:08
10 "True Love Ways" Buddy Holly, Norman Petty Buddy Holly 1958 3:14
11 "'Til I Can Make it on My Own" George Richey, Billy Sherrill, Tammy Wynette Tammy Wynette 1976 3:17
12 "I Still Miss Someone"
(akimshirikisha Dolly Parton)
Johnny Cash, Roy Cash, Jr. Johnny Cash 1958 2:56
13 "Heartaches by the Number"
(akimshirikisha Dwight Yoakam)
Harlan Howard Ray Price 1959 3:06
14 "Satin Sheets" John Volinkaty Jeanne Pruett 1973 3:20
15 "Thanks a Lot" Eddie Miller, Don Sessions Ernest Tubb 1963 2:35
16 "Love's Gonna Live Here" Buck Owens Buck Owens 1963 2:01
17 "Make the World Go Away" Hank Cochran Ray Price 1963 2:57
18 "Help Me Make It Through the Night" Kris Kristofferson Sammi Smith 1971 4:04


Mwondoko wa ‘’limited edition’’ wa albamu ya Timeless unashirikisha ngoma nne za ziada:

  1. "Dreaming My Dreams"
  2. "Crying Time" (Buck Owens}
  3. "Walk On By" (Kendall Hayes)
  4. "Take These Chains from My Heart" (Fred Rose, Hy Heath}

Ngoma za Single[hariri | hariri chanzo]

  • (I Never Promised You A) Rose Garden - 30 Agosti 2005
  • I Still Miss Someone
  • You AIn't Woman Enough - 9 Januari 2006 [1]
  • 'Til I Can Make It On My Own 10 Aprili 2006 [2]

Chati[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

Chati (2005) Kilele
U.S. Billboard Top Country Albums 1
U.S. Billboard 200 3
Canadian Albums Chart 41

Singles[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Single Nafasi katika Chati
US Country US CAN Country
2005 "(I Never Promised You) A Rose Garden" 18 98 19
2006 "I Still Miss Someone" (akimshirikisha Dolly Parton) 50
"You Ain't Woman Enough"

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Martina McBride - Timeless - Cut by Cut". about.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-03-10. Iliwekwa mnamo 2009-03-16. 
Alitanguliwa na
Tough All Over ya Gary Allan
albamu ya Kwanza katika Top Country Albums
5-25 Novemba 2005
Akafuatiwa na
The Road and the Radio ya Kenny Chesney