Time Trax
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Time Trax |
|
|---|---|
|
|
|
| Jina la kipindi | Time Trax |
| Aina kipindi | Uzushi wa Kisayansi |
| Muda | saa. 1 |
| Mtunzi | Harve Bennett Jeffrey M. Hayes |
| Nyota | Dale Midkiff Elizabeth Alexander |
| Nchi | Marekani/Australia |
| Kampuni | Prime Time Entertainment Network |
| Hewani tangu | Januari 20, 1993 |
| Mwisho wa kuwa hewani | 3 Desemba, 1994 |
| Idadi ya sinema | 44 |
Time Trax ni mfululizo wa kipindi cha televisheni kilichokuwa kinarushwa hewani na Prime Time Entertainment Network ya Amerika/Australia. Ilikuwa filamu ya ushirika yaani makampuni mawili, moja kutoka Marekani na lingine kutoka Australia, wakatengeneza filamu hiyo ya kisayansi na kuanza kurushwa hewani tangu mnamo mwaka 1993. Filamu inamzungumzia ofisa mmoja wa polisi aliyeutumwa kwenda kuwakamata wahalifu waliokuwa wamefungwa jela kisha wakatoroka. Filamu hii ndio ilikuwa ya mwanzo na ya mwisho kwa mataarisho ya televisheni ya Lorimar.
[hariri] Viungo vya nje
- "Journals of Darien Lambert"
- "Teri's Time Trax Directory"
- Time Trax katika Internet Movie Database
- "Time Trax" at "TV.com"
- "TV Acres"
